Deutschewelle:Moroko na Niger zimeyaaga mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika licha ya ushindi wa bao moja kwa bila.
Upepo mkali na mvua kubwa yashuhudiwa pwani ya kusini ya Tanzania.I Meli ya kivita ya Iran yavuka Ikweta hadi kizio cha kusini.I Mahakama ya kijeshi yawahukumu kifo askari wanane Kongo.I Rwanda yakanusha shutuma za Marekani kuhusika na shambulizi la Goma.
Umeme wakatika Tanzania wakati Kimbunga Hidaya kikikaribia.I Uingereza kuanza kuwapeleka wahamiaji Rwanda ifikapo Julai Mosi I New Zealand na Ujerumani zasaini mkataba wa kukuza ushirikiano. I Bomu laua watu 12 wakiwemo watoto Kongo.
Mamlaka ya hali ya hewa nchini Kenya imewataka wakaazi wa pwani ya nchi hiyo kuwa katika hali ya tahadhari, wakati eneo hilo likitarajiwa kupigwa na kimbunga Hidaya.