Deutsche Welle Katika Ligi ya Europa Stoke City ya Uingereza imesogea mbele baada ya kuilaza Dynamo Kiev na kujiunga na Lokomotiv Moscow ya Urusi na Schalke 04.
Bayer Leverkusen imeonesha kuijongelea fainali ya Ligi ya Europa baada ya kushinda 2-0 dhidi ya Roma jana Alhamisi huko ugenini Italia