Deutsche Welle: Watu 6 wameuwawa na wengine 10 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha walipowafyetulia risasi waumini katika kanisa la Nasarawa huko Gombe Nigeria.
Takriban watalii 100 ni miongoni mwa idadi kubwa ya waliokwama baada ya mto kufurika katika hifadhi ya wanyamapori maarufu ya Maasai Mara nchini Kenya kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo hayo.
Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo inasikika hapa moja kwa moja
Ungana nasi hapa kusikiliza Taarifa yetu ya habari za Ulimwengu asubuhi hii