DW: Watu 16 waripotiwa kufariki dunia nchini Algeria kutokana na theluji kali katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika huku barani Ulaya hali ikizidi kuwa mbaya
Mapigano yanaendelea katika mji wa kusini mwa Gaza Rafah. Austria itaanza tena kuchangia katika shirika la UNRWA. Burkina Faso, Mali na Niger zakamilisha mpango wa ushirikiano wao wa kikanda.
Jake Sullivan aelekea Saudi Arabia kujadili hali ya Mashariki ya Kati. Mapigano yanaendelea katika mji wa kusini mwa Gaza, Rafah. Mshukiwa aliyempiga risasi Waziri Mkuu wa Slovakia Roberto Fico, afikishwa Mahakamani.
Urusi yaendeleza mashambulizi nchini Ukraine na kuushikilia mji muhimu. Tume ya Haki za Binadamu nchini Kenya yawashtaki mawaziri kadhaa kwa uzembe na kushindwa kuwalinda waathirika wa mafuriko. Waziri Mkuu wa Slovakia afanyiwa upasuaji mwingine siku mbili baada ya kushambuliwa kwa risasi.