Wachezaji wa timu ya kulipwa ya mpira wa magongo katika barafu nchini Urusi wote wamekufa katika ajali ya ndege iliyotokea jana huko Urusi
Uhaba wa makazi nchini Ujerumani, ni tatizo kubwa la kijamiii. Kupata nyumba ya kupanga hivi sasa limekuwa suala gumu ambalo linaweza kufananishwa na kushinda bahati nasibu. Ungana na Angela Mdungu katika makala ya Sura ya Ujerumani kufahamu zaidi kuhusu tatizo hilo.
Marekani itatoa msaada wa karibu dola milioni 55 kushughulikia mzozo mbaya wa kibinadamu nchini Burkina Faso. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Mkuu ofisi ya Misaada ya Kitutu ya Marekani, Samantha Power.
Bayer Leverkusen imeonesha kuijongelea fainali ya Ligi ya Europa baada ya kushinda 2-0 dhidi ya Roma jana Alhamisi huko ugenini Italia