Katika ligi ya Ujerumani, Bundesliga, Bayer Leverkusen iliilaza jana Mainz 1-0. Mbarazil Renato Augusto alifunga bao hilo dakika ya 82 ya mchezo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken ambaye yuko ziarani nchini Israel ametoa wito wa kupelekwa misaada zaidi ya kibinaadamu kwenye ukanda wa Gaza.
Rais William Ruto ametangaza kwamba watu wanaoishi katika maeneo yenye hatari ya kukumbwa na mafuriko kote nchini Kenya, watahamishiwa maeneo salama chini ya saa 48 zijazo.
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Annalena Baerbock ameanza ziara ya wiki nzima nchini Australia, New Zealand na Fiji.