Watu zaidi ya 100 wamefariki dunia katika mji wa Mograhat mashariki mwa India baada ya kunywa pombe haramu. Wengine kadhaa wanatibiwa hospitalini.
Bayer Leverkusen imeonesha kuijongelea fainali ya Ligi ya Europa baada ya kushinda 2-0 dhidi ya Roma jana Alhamisi huko ugenini Italia
Takriban watalii 100 ni miongoni mwa idadi kubwa ya waliokwama baada ya mto kufurika katika hifadhi ya wanyamapori maarufu ya Maasai Mara nchini Kenya kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo hayo.
Shirika la utangazaji la DW limemtunuku Yulia Navalnaya pamoja na Wakfu wa Kupambana na Rushwa ya nchini Urusi tuzo ya Uhuru wa Habari kwa mwaka huu 2024