Katika ligi ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, timu ya Bayern Munich inacheza na FC Cologne leo.
Kutana na wanawake hawa wenye ulemavu waliamua kujiingiza kwenye mchezo wa mpira wa mikono na namna wanavyosakata mchezo huo.
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Makamu wa kwanza wa Rais wa Iran Mohammad Mokhber ameteuliwa kama rais wa mpito baada ya kifo cha Rais Ebrahim Raisi/ Bayer Leverkusen imebakiwa na michezo miwili tu kuwa timu inayoweka historia ambayo haijawahi kushuhudiwa katika kandanda
Ujerumani itafungua pazia watakapokipiga na Scotland mnamo Juni 14 katika dimba la Allianz Arena mjini Munich, huku fainali ikitarajiwa kuchezwa Julai 14 katika uwanja wa Olympiastadion mjini Berlin. Sikiliza mahojiano kati ya John Juma na Josephat Charo wa dawati la michezo la DW Kiswahili.