Deutsche Welle: Katika ligi ya Ujerumani, Bundesliga, Borussia Moenchengladbach imeibwaga Mainz kwa bao 1-0 na kujiweka katika nafasi tatu za mwanzo.
Zikiwa zimesalia wiki chache kuanza kwa mashindano EURO 2024 Juni 14 yatakayofanyika hapa Ujeurmani tayari baadhi ya mataifa yameanza kutangaza vikosi vyao. Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Nancy Faeser amesema vikosi vya usalama vimeajiandaa vyema kwa ajili ya mashindano hayo. Sikiliza mahojiano kati ya Suleman Mwiru na Josephat Charo.
Klabu ya Bayer Leverkusen inadhamiria kuingia kwenye historia ya soka kwa kuwa timu ya kwanza Ujerumani kumaliza msimu mzima bila ya kufungwa hata mechi moja.
Bayer Leverkusen ipo tayari kuwa timu ya kwanza katika histori ya Bundesliga kutopoteza mechi hata moja msimu mzima. Viongozi wa klabu ya Bayern Munich wagadhabishwa na utafutaji kocha mpya unaochukua muda mrefu. Beki wa Manchester City Josko Gvardiol ajiimarisha katika ligi ya Premier.