Gabon imekamilisha ujenzi wa viwanja mjini Libreville na Franceville kwa ajili ya mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika yanayoanza Januari 21 had1Feb. 12.
Timu ya jeshi la Rwanda APR FC imetupwa nje baada ya kunyeshewa mvua ya magoli na Club ya Pyramid ya Misri magoli 6-1 jijini Cairo katika kinyang'anyiro cha kusaka tikiti ya kufuza makundi ya ligi ya mabingwa Afrika.
Timu ya mpira wa kikapu Kenya Ports Authority (KPA) wanawake, watawazwa mabingwa wa Ukanda wa V wa Afrika katika shindano la mpira wa kikapu maarufu "FIBA African Women Basketball League,''
Bayern Munich inatajwa kumuuza Pavard kiasi Euro Milioni 30 kwa Inter Milan