Cologne yamtangaza Volker Finke kuwa kocha wake wa muda baada ya Frank Schaefer kujiuzulu, kautoka klabu hiyo ya Bundesliga iliyopata mshtuko.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi alikuwa ziarani barani Ulaya hivi karibuni. DW ilifanya mahojiano maalum na kiongozi huyo kuhusu masuala mengi. Kubwa zaidi ni mahusiano yake na taifa jirani la Rwanda na mchakato wa kurejesha amani mashariki mwa nchi yake. Tizama sehemu ya mahojiano hayo.
Idadi kubwa ya Polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliotumwa mwishoni mwa mwezi Februari Mashariki mwa nchi hiyo ili kuchukua nafasi ya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, wanakabiliwa na hali ngumu.
Ujumbe wa kundi la Hamas unatarajiwa hivi karibuni kufanya ziara nchini Misri ili kuendeleza mazungumzo katika dhamira ya kufikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza.