Katika ligi kuu ya Hispania, La Liga, Malaga kuvaana na Villareal na katika ligi ya England, Liverpool yailazimisha Machester City suluhu ya 1-1.
Polisi wamefanikiwa kunasa tani 1.8 za madawa ya kulivya aina ya kokeini kutoka katika mashua iliyokuwa imetua nanga kwenye bandari ya Marigot huko kisiwani Saint Martin kilicho katika utawala wa Ufaransa.
Takriban watalii 100 ni miongoni mwa idadi kubwa ya waliokwama baada ya mto kufurika katika hifadhi ya wanyamapori maarufu ya Maasai Mara nchini Kenya kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo hayo.