Zambia yaondoa matumaini ya kuwa na mchezaji wake wa kutegemewa Jacob Mulenga aliyejeruhiwa, katika kikosi kitakachocheza kombe la mataifa ya Afrika,Januari 21
Umoja wa Mataifa umeziomba Israel na Hamas kutopoteza fursa ya kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano+++Marekani imetoa wito kwa Rwanda iviadhibu vikosi vilivyohusika kufanya shambulizi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Jeshi la Israel limepeleka vifaru kwenye mji wa kusini mwa Ukanda wa Gaza wa Rafah+++Rais wa Urusi Vladimir Putin, ameapishwa ramsi hii leo tayari kuanza rasmi awamu yake ya tano ya urais+++Marekani imetoa wito kwa Rwanda iviadhibu vikosi vilivyohusika kufanya shambulizi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo