Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga kukutana leo na rais Laurent Gbagbo wa Cote d´Ivoire mjini Abidjan kujaribu kuutanzua mzozo wa kisiasa wa nchi hiyo
Wiki chache zijazo huenda zikaliweka kandanda la Ujerumani kwenye ramani. Ujerumani inajiandaa kuwa mwenyeji wa mashindano ya Ulaya katika miezi ya Juni na Julai, huku timu ya taifa ya Ujerumani ikiimarika fomu yake.
Inaonenaka sasa kinyang'anyiro cha ligi kuu ya kandanda nchini England - Premier League, hiyo ni cha farasi wawili. Manchester City na Arsenal. Hii ni baada ya matumaini ya Liverpool kupata pigo.
Mahakama mjini Stuttgart imeanza kusikiliza kesi zinazowahusu wanachama wa kundi moja la siasa kali za mrengo wa kulia wanaotuhumiwa kula njama ya kulivamia bunge na kuipinduwa serikali ya shirikisho la Ujerumani.