Wanajeshi wanne wa Japan na wafanyakazi saba wa kiwanda cha nyuklia cha Fukushima Daichi wamejeruhiwa kufuatia mripuko uliotokea leo asubuhi katika kiwanda hicho
Jeshi la Israel limeanza kuwahamisha takribani watu 100,000 kutoka mashariki mwa mji wa Rafah, kabla ya mashambulizi yanayotarajiwa ya ardhini katika mji huo wa kusini mwa Ukanda wa Gaza.
Wachad wameanza kupiga kura Jumatatu katika uchaguzi unaotazamiwa kuhitimisha utawala wa kijeshi, lakini ambao umepuuzwa na wapinzani wa kiongozi wa kijeshi Mahamat Idriss Deby kufuatia ukandamizaji.
Wapiga kura nchini Panama wamemchagua José Raúl Mulino kuwa rais kulingana na matokeo ya awali yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi.