1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Alonso: Leverkusen bado inaweza kuboresha mchezo

Josephat Charo
6 Mei 2024

Kocha wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso anaamini timu yake ina fursa ya kuboresha mchezo wanapojiandaa kukwaana na AS Roma katika mechi ya ligi ya mabingwa wa Ulaya. Bayern Munich wanakabiliwa na kitisho cha kukamilisha msimu wa Bundesliga katika nafasi ya tatu baada ya kichapo kutoka kwa Stuttgart.

https://p.dw.com/p/4fYbo